🌿Chetu Agrosolution Co. Ltd
Pembejeo Bora, Mavuno Bora, Maisha Bora
Chetu Agrosolution Co. Ltd — muuzaji wa pembejeo za kilimo na mifugo mkoani Kilimanjaro, Tanzania. Tunahudumia wakulima na wafugaji kwa bidhaa bora, ushauri wa kitaalam, na bei nafuu.