Sera ya Faragha
Chetu Agrosolution Co. Ltd inaheshimu faragha yako. Tunakusanya tu taarifa binafsi unazotupea kwa hiari, kama jina, namba ya simu, na anwani, kwa madhumuni ya kukuhudumia. Hatuziuzi wala kushiriki taarifa zako na wahusika wengine bila idhini yako. Tunatumia njia salama za kuhifadhi data. Kwa maswali, wasiliana nasi kwa info@chetuagro.com.